MAONYESHO YA NANENANE KITAIFA

Maadhimiso ya  maonyesho ya nanenane yafanyika leo tarehe 08/08/2020  Mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu Wa Tanzania Mhe Majaliwa Khasim Majaliwa ambapo Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo chaibuka kinara wa mashindano hayo kwa upande wa vyuo